SOMO LA ELIMU KWA MICHEZO LIFUNDISHWE KWA WANAFUNZI WOTE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji  wa somo la Elimu kwa Michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi na kuhamasisha wanafunzi wa shule za Sekondari kusoma somo hilo.  Amesema kuwa hatua hiyo itawasaidia watoto kujenga moyo wa kujiamini, kuwa ubunifu, kuongeza mshikamano na umoja wa kitaifa  pamoja na kuimarisha afya ya taifa.  Ametoa